Friday, February 11, 2011

KICHEKESHO CHA LEO!

Kuna jamaa mmoja alikuwa akihadithia kuwa yeye ametembea nchi nyingi sana hapa Afrika...hakuna asipo pajuwa. Akatokea mtu mmoja akamwambia kuwa kwa hiyo Broo inaonekana wewe unajua sana Jiografia? Jamaa akajibu kuwa; kwa kuanza kucheka...ha ha ha haaaaa...!!! hapo Jiografia nilipita tu wala sikushuka ndani ya Gari.

Kazi kweli kweli.....!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI