Wednesday, February 9, 2011

LàSZLò BìRò: NDIYE MVUMBUZI WA KALAMU YA SASA YA WINO!

ALIYEKUWA RAIA, MWANDISHI WA HABARI WA HUNGURY.



Wakati unasoma safu hii ukiwa na karamu ya wino mkononi au pembeni yako, basi fahamu kitu hicho ni uvumbuzi wa mtu aliyekuwa anaitwa Làszlò Bìrò. Binadamu huyu aliyekuwa anajulikana kama ''Mr.Pen au Mr.Bìrò'' jina lake kamili alikuwa anaitwa Làszlò Jòzsef Bìrò, aliyezaliwa Septemba 29, 1899 mjini Budapest, Nchini Hungury, na kufariki Novemba 24, 1985 akiwa na miaka 86. Alifariki huko Buenos Aires - Argentina, alikokimbilia mwaka 1940 kukwepa mateso ya Wajerumani wakati wa vita kuu.

No comments:

WATEMBELEAJI