........Kila mtu anapaswa asafiri bila kukwepa. Maisha ni safari ambayo hakuna mtu atatoka mzima katika maisha haya, wote tutakufa tu!
Kwahiyo heshimu sana wenzako na kuyafurahia maisha haya bila kulalamika lalamika kila kukicha. Utakufa bure kabla ya wakati wako!
FURAHIA NA URIDHIKE NA MAISHA ULIYO NAYO!
-kutoka kwa Baraka wa Chibiriti.
No comments:
Post a Comment