Monday, February 21, 2011

MICHEZO MINGINE NI YA KUTUMIA AKILI......


Na siasa pia. '' Uwe kama mbayuwayu, chukua cha kuambiwa, changanya na cha kwako, fanya uamzi'' - Jakaya Mrisho Kikwete. Tafakari....jadili.
(Pichani ni vijana wangu).
- Hii ni kutoka kwa Mkuu Mjengwa.

No comments:

WATEMBELEAJI