NANI KAMKUNA MWEZIE HAPA????? BUNGENI DODOMA!
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda....akicheka jambo na aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa...kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo trh 18/02/2011. Katikati ni mbunge wa Urambo Magharibi Profesa Athumani Kapuya.-Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment