Monday, March 7, 2011

AJALI YA SANGASANGA ILIYOMUUA MWENDESHA PIKIPIKI.




Wakazi wa Kijiji cha Sangasanga, Kata ya Mzumbe, Wilayani Mvomero....wakishuhudia ajali iliyotokea kwenye barabara kuu ya Iringa - Morogoro, iliyohusisha pikipiki ambapo mwendesha pikipiki huyo aliyetambuliwa kwa jina la Hery Salumu (30) mkazi wa Kipera, alifariki dunia papo hapo baada ya kuligonga kwa nyuma Lori la mizigo, ambalo pia Lori jingine la kubeba mafuta kugonga kwa nyuma Lori hilo la mizigo na kumkandamiza mwendesha pikipiki. Lori la mafuta liligonga Lori la mizigo katika harakati ya kukwepa kugongana uso kwa uso na gari jingine lililokuwa likitokea mbele.
SOURCE: Mdau John Nditi wa Habarileo.


No comments:

WATEMBELEAJI