




Dereva wa pikipiki anayefanya kazi za kusafirisha mkaa yupo mahututi, baada ya jaribio lake la kutaka kuipita baiskeli katika daraja hilo, na kugongana uso kwa uso na Toyota Hiace....akiwa amebeba gunia la mkaa hapo jana.
- Picha na Global Publishers.
No comments:
Post a Comment