Monday, March 28, 2011

CESENA NA: PARKING YA KISASA CHINI YA ARDHI, ANGALIA HAPA!.



Mji wa Cesena ni mji wa kwanza Italy kuwa na Parking za kisasa chini ya ardhi, zaidi ya magari 200 huingizwa chini kwa kupaki, tunatembea juu ya ardhi huko chini kuna magari yamejazana. Ili kuondoa shida za Parking mjini, na sisi Bongo je tunaweza kufanya hivi, kuiga kidogo hapa?....kazi kweli kweli!!!!!


- Ila sisi bado hatuna mambo muhimu ya maisha...tuyatatue kwanza yale muhimu kwanza, ndipo tutaanza kufikiria hata haya, ni katika kushangaa tu!

No comments:

WATEMBELEAJI