Wednesday, March 23, 2011

CHAGUA MWENYEWE HAPA....UNATAKA IPI?

Enzi zangu mwenyewe...wakati ule nikitumia mambo kama haya ya maji ya ugwadu, ukiniambia neno kama hilo chagua mwenyewe unataka ipi hapo, nitakujibu zote hapo hamna kubaki. Ila pombe jamani!!!! muhhh..mimi sisemi mengi. Ila nikimpata aliyegundua pombe nitammaliza kabisa!

No comments:

WATEMBELEAJI