Wednesday, March 30, 2011

HIVI WAJEMENI UMEME NI NANI ANASHUGHULIKIA?.....

.......RAIS, WAZIRI MKUU, DIRECTOR WA TANESCO, KAMATI YA BUNGE, WAZIRI WA NISHATI????



Mimi huwa najiuliza sana sipati jibu kabisa kuhusu hili suala la umeme;
Mbona sijui nani mwenye uamzi wa mwisho kwenye hili swala je ni; Rais, Waziri Mkuu, Kamati ya Bunge, Mkurugenzi na Board ya Tanesco au Waziri wa Nishati? Hakuna uongozi unaoeleweka ki ukamilifu kabisa ni kila mtu anasema anachotaka na hatujui ni nani ana Responsibility kamili, kama Serikali haisemi ni nani anafanya uamzi hakutakuwa na uamzi bali maneno tu! nenda...rudi!!!!!!???

No comments:

WATEMBELEAJI