MBUNGE WA KILOMBERO - CHADEMA. REGIA MTEMA!
Hata ulemavu haukuzuii kuwa kiongozi wa nchi, hivyo usikate tamaa. Maisha yanaendelea kama kawaida ya watu wote, hata uwe mlemavu ni binadamu kama wengine wote. Tujifunze kupitia kwa huyu Mama Regia, Mbunge wa Kilombero.
Regia Mtema, mbunge wa Kilombero wa chama cha Chadema. Hapa akiwa nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment