Wednesday, March 30, 2011

MSIBA CHUO KIKUU CHA DODOMA!

Umati mkubwa wa Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, wamejumika pamoja kuaga mwili wa Marehemu Eva Katabalwa, aliyefariki ghafla baada ya kuanguka akiwa bafuni. Mwanafunzi Marehemu Eva Katabalwa ambae alikua mwanafunzi wa mwaka wa tatu, alikuwa akisoma Shahada ya kwanza ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma, yaani; Bachelor of Arts in Political Science and Public Administration ( PSPA). - Picha na Habari na; Josephat Lukaza ( DODOMA).

No comments:

WATEMBELEAJI