MWINGINE AIBUKA TENA TABORA NA TIBA YA KIKOMBE!
NILIKUTANA NA HII KATIKA MAONI HUKO WAVUTI NIKAIPENDA, JAMAA ANASEMA HIVI; Ee Mungu ibariki Tanzania....wabariki Watanzania dumisha akili na ufahamu hizi ni kinga zetu, baada ya kuona haya kweli nimekili tuko katika siku za mwisho, yaani sasa kila mmoja akianza kuota dawa ya kutibu. Hatutakuwepo na mgonjwa...tutakuwa wazima mwana wane acha kabisa, duhh...!!! haya. Kweli maadui wetu watatu wameshinda tayari; ( UJINGA, MARADHI NA UMASKINI).
No comments:
Post a Comment