Monday, March 28, 2011

SPIKA MAKINDA ATEMBELEA KAMATI ZA BUNGE.

Spika wa Bunge Mh.Anne Makinda (katikati) akizungumza na wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya mambo ya nje ulinzi na usalama, Jijini Dar es salaam leo. Huu ni utaratibu mpya ambapo Spika anapenda kusikia, kuona na kushauri kuhusu yanayojiri ndani ya Kamati za Bunge.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge Mh.Zungu (kushoto) akimkaribisha Spika Makinda kwenye Kamati na kumpa muhtasari wa mahitaji na matarajio ya Kamati hiyo.


-Picha na Prosper Minja - Bunge.

No comments:

WATEMBELEAJI