Tuesday, March 29, 2011

TUYATUNZE MAZINGIRA YETU JAMANI......!!!!!!!

Mpita njia akila timing ya kuyaruka maji machafu, ambayo yamekuwa yakitiririka kutoka sehemu ya juu ukielekea maeneo ya Mikocheni, unapotazama picha hii, eneo hili limekuwa korofi sana kwa maji machafu, kwasababu mvua kidogo tu ikinyesha....kosa! nadhani umenielewa mpaka hapo.
Shaa....!!!! Karuka anataka hata kuvunja mbavu zake, kisa kuruka maji machafu ambayo yamekuwa yakifunguliwa hovyo mara mvua kidogo inyeshapo, mbaya zaidi maji hayo hutuama na kuanza kuleta adha kama hii pichani. Jamani tuwe wastaarabu katika suala zima la usafi wa mazingira wajemeni!!!


- Picha na Michuzi Jr. Mkuu wa JIACHIE.

No comments:

WATEMBELEAJI