Friday, March 4, 2011

WAZIRI MKUU MH.MIZENGO PINDA ATUA KAGERA!

WAZIRI MKUU MH.MIZENGO PINDA....ATUA KAGERA KWA ZIARA YA SIKU NANE.

Waziri Mkuu, akisalimiana na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba kwa ziara ya siku nane Mkoani Kagera, leo Machi 4, 2011.

-Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.



No comments:

WATEMBELEAJI