Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda na mkewe Mama Tunu Pinda, wakizungumza na Mama mzazi wa Waziri wa Ujenzi Mh.John Pombe Magufuli, Mama Susana Mussa....wakati walipomtembelea nyumbani kwake Chato, Mkoani Kagera, Machi 6,2011 yaani jana. Waziri Mkuu akiwa ziarani Mkoani humo.-Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
No comments:
Post a Comment