WELCOME TO THE STADIUM OF THE 20th CENTURY'S BEST FOOTBALL CLUB.BIENVENIDO AL ESTADIO DEL MEJOR CLUB DEL SIGLO XX.
Nje ya uwanja wa Real Madrid.
Ndani ya uwanja wa Real Madrid.
Mimi na rafiki Dorina, katika benchi la Timu ya Real Madrid. Wanapo kaa wachezaji wa akiba na kocha wao.
Uwanja wa mpira maarufu sana Duniani, kutokana na Timu yake ya Real Madrid kushinda makombe muhimu ya mpira wa kimataifa na kuwa ni Timu maarufu sana Duniani. Kwamfano ndio Timu inayoongoza kuwa na makombe 9 ya Ulaya, ikifatiwa na Timu ya AC.Milan 7. Namaanisha makombe ya; (Champions League).
1 comment:
Angela
said...
MMEPENDEZA SANA NA PIA NI KUZURI SANA.BAHATUI SANA KUTEMBELEA MAENEO KAMA HAYO SO BIGGGGGGGGGGGGGGG UP
1 comment:
MMEPENDEZA SANA NA PIA NI KUZURI SANA.BAHATUI SANA KUTEMBELEA MAENEO KAMA HAYO SO BIGGGGGGGGGGGGGGG UP
Post a Comment