Mzee Ramadhani Chagaka, akisomewa gazeti na mtoto wake Rukia Ramadhani (10) mwanafunzi wa darasa la tano, katika Skuli ya ST. Francis Maria....ambaye anapatiwa elimu kwa njia ya kusaidiwa na uongozi wa Skuli hiyo kutokana na Mzazi wake hana uwezo wa kumsomesha, ambaye ni mlemavu wa miguu, huishi kwa kutegemea kuomba misaada kwa Wananchi.
- Picha na Mdau Othman Maulid - Zanzibar.
No comments:
Post a Comment