Thursday, July 14, 2011

OFISI IMEFINGWA.....LIKIZO SASA! SAFARI NI TANZANIA.

Leo ndio naanza rasmi likizo yangu, napenda kuwaageni wadau wangu. Ofisi imefungwa mpaka mwezi wa 9. Nawatakieni kila lakheri kwa yote, tutaonana tena mwezi wa 9, ndipo nitarudi hewani, samahani sana na poleni sana kwa usumbufu wa kutokuwepo kwangu.
Leo hii usiku naondoka kuelekea nyumbani Tanzania. Kwaherini!

Baraka wa Chibiriti.

No comments:

WATEMBELEAJI