USO KWA USO NA MKUU MJENGWA NDANI YA MAKAO MAKUU - DODOMA. Ukitoka nyumbani, mambo ya likizo....yaani siku za kwanza huwa balaa kuzoea huwa shida sana. Maisha ya nyumbani ni raha sana, watu hujumwuka pamoja na kujuliana hali, kucheka pamoja na furaha kede wa kede. Maisha ya huku Ulaya sasa? Basi inabidi kuyazoea tu! Hapa tulikutana na Mkuu Mjengwa, wa Blog ya Mjengwa. Ilikuwa ni furaha sana, tulitana Dodoma wiki iliyopita. Yaani nikiwa nyumbani huwa nanenepa sana kwa raha za kukutana na watu na kufurahi nao.
Salamu sana kwa Mkuu Mjengwa.
No comments:
Post a Comment