Monday, September 12, 2011

NI WAKATI WA MAJONZI NA HUZUNI KWA TAIFA LETU!

Ni wakati wa majonzi na huzuni kwa ndugu zetu wapendwa waliopoteza maisha yao katika eneo la Nungwi. Umoja ulionekana katika hili, ni Nembo ya Taifa letu.

-Blog hii inaungana na wote wenzetu katika kuomboleza msiba huu mzito katika Taifa letu. Mwenyezi Mungu awalaze pema peponi marehemu wote katika janga hili, Amina!

No comments:

WATEMBELEAJI