Sunday, October 23, 2011

MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII YA 29 YA MWAKA.

Ee Mungu, nimekuita kwa maana utaitika....utege sikio lako ulisikie neno langu. Ee Bwana unilinde kama mboni ya jicho...unifiche chini ya uvuli wa mbawa zako.
Ee Mungu Mwenyezi wa milele, utuwezeshe kufuata daima mapenzi yako matakatifu na kuitumikia fahari yako kwa moyo mnyofu.

Ee Bwana, utuwezeshe kupata maendeleo ya roho tunaposhiriki mara nyingi mambo haya matakatifu. Tujaliwe riziki za hapa duniani na hekima katika mambo ya mbinguni.

No comments:

WATEMBELEAJI