Thursday, October 20, 2011

MISS MTWARA 2011, RAHMA SWAI....AFARIKI DUNIA.



Miss Mtwara 2011, Rahma Swai (21) pichani....amefariki dunia Mjini Mtwara. Marehemu Rahma, alifikwa na umauti baada ya kuugua ghafla ugonjwa wa tumbo na kufikishwa katika Hospitali ya Mtwara kwa matibabu, na ilipofika alfajiri ya tarehe 18/10 hapo majuzi alipoteza maisha yake.

Rahma pia alikuwa ni Miss Kanda ya Mashariki Namba 4 katika shindano lililofanyika Mjini Morogoro mwaka huu.

-BLOG HII INASEMA; Mungu ampe hifadhi ya milele....amina!


- Habati na Haki ngowi.

No comments:

WATEMBELEAJI