Thursday, October 20, 2011

WABUNGE WA ITALY - WAKIWA BUNGENI HAPA!

Wanakula maisha tu! Hawana hata habari kikao kinaendaje.....kuna mazungumzo gani, wenyewe wapo bize na simu zao tu! Sio Tanzania peke yake....angalia hata Ugaibuni mambo ni yale yale tu!

No comments:

WATEMBELEAJI