Hebu tujikumbushe kidogo nyimbo za Mama Maria, za wakati ule zilizo imbwa sana na kila mtu Kanisani na kila mtu alikuwa akijua kuimba. Kama huzijui nyimbo hizi basi umezaliwa hivi karibuni. Ulikuwa unakuta kanisa zima waamini wakiimba sana kwa furaha sana.....lakini sasahivi utakuta ni wanakwaya tu! ndo wanaoimba, kutokana na nyimbo ngumu au kubadili kila Jumapili nyimbo mpya. Mpaka huzuni kanisani....wakati zamani mpaka basi, basi sisemi mengi sana!
No comments:
Post a Comment