
Thursday, November 3, 2011
MCHEZAJI MASHUHURI WA TIMU YA AC.MILAN GATTUSO!
Mjezaji mashuhuri wa Timu ya Ac.Milan, pia wa Timu ya Taifa ya Italy....Genaro Gattuso, ambaye anasumbuliwa sana na jicho....mpaka madaktari wake wanaogopa tatizo hilo na kusema; huenda ikawa ni mwisho wake wa kucheza mpira, nilimsikia Gattuso akiongea yeye mwenyewe kwenye TV, amesema kuna wasiwasi mkubwa....lakini yeye ana imani kubwa kuwa atapona na kurudi kwenye Soka. Wakati akiongea alinigusa sana, akisema; anashukuru sana kuwa na Madaktari wazuri wanao mfuatilia, inabidi kushukuru sana, akikumbuka watu wangapi duniani hawana bahati hii ya kutibiwa vizuri na kuwa na madaktali wazuri. Hivyo yeye halalamiki hata kidogo wala kuwa na wasiwasi wowote, vinginevyo ni kumkufuru Mwenyezi Mungu.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment