........Chibiriti, naomba siku uwaulize wa Bantu wenzangu, kwanini sisi Watanzania tunaiharibu maana ya ''WASWAHILI'' kwa kuiweka kwamba; Neno Waswahili ni umbeya, unafiki na mabaya kibao, mbona wenzetu wanajisifu na kuwa wa English, Wamanga? Leo mtu utasikia; nyie Waswahili sana sio kwa nia nzuri, sema nyie Waswahili kwa nia nzuri au sio Waswahili tuwe tunapenda kusema sie Waswahili kwa nia nzuri na tuanze kutupia mbali neno Waswahili kwa ubaya.
- Mdau anawakilisha hii!
No comments:
Post a Comment