Wednesday, November 2, 2011

MH.ZITTO KABWE, AKIWA HOSPITALI HUKO INDIA, ASEMA;

Mh.Zitto Kabwe, akiwa Hospitalini huko nchini India, asema;
Leo nimetembelewa na wagonjwa wenzangu waliopo hapa Apollo Bangalore, Mama Kilewo kutoka Bomang'ombe - Hai, na Mama Mmari kutoka KCMC - Moshi. Mama Mmari anaondoka leo kurudi nyumbani. Nimefurahi sana!

- Blog hii inakutakia matibabu mema sana Mh.Zitto Kabwe, ugua pole na upone haraka. Kila lakheri!

No comments:

WATEMBELEAJI