MIAKA 50 NA NDOO ZA PLASTIKI KAMA VIKALIO DARASANI.
Baadhi ya wanafunzi wa darasa la tano katika shule ya msingi Lupiro, Wilayani Ulanga, Mkoani Morogoro....wakiwa wamekalia ndoo za plastiki na wengine kuketi sakafuni kutokana na uhaba mkubwa wa madawati na vyumba vya madarasa, ambapo katika chumba hicho wanafunzi 176 walikuwemo wakisoma masomo yao.-MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA....HII NI KWELI?
1 comment:
Bado tuuuuuu!!!
Post a Comment