Babu Ambi, akiwa na mjukuu wake na gari lake la mafao ya kikombez.
Hapa akiwa mbele ya nyumba yake mpya ya sasa.
Hii ndio Solar Pannel ambayo Babu Ambikile anatumia kupata huduma ya umeme.- Haya ndiyo maisha ya Babu Ambikile kwasasa....baada ya kutoa dozi ya Kikombe huko Loliondo.....sasa anakula mafao yake kiulaini-taratibu, Babu Ambi mpaka kitambi cha kiaina kwa mbali kimemtoka.....Kikombe cha Loliondo kina manufaa bana!

No comments:
Post a Comment