Hawa jamaa kwa kutanua hawajambo....wasiojua kutanua = ni kupita pembeni mwa barabara kukwepa foleni, matokeo yake ni haya. Mara nyingi sana hawa jamaa wa daladala hufanya hivi....na matokeo yake mara nyingi huwa ni haya ya kuacha njia au wakati mwingine hugonga watu.Sasa hapa hili DCM a.k.a GOBOLE....limepatikana ujanja wote wa kuchomoa kwisha!
No comments:
Post a Comment