HATA UPANDE JUU YA NGAZI....MIMI BADO MREFU ZAIDI YAKO!
Siku nilipokutana na Mh.Ngeleja, Waziri wa Nishati na Madini....katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Eti akajifanya kupanda juu ya ngazi moja ili tulingane urefu....lakini hakuona ndani, kama ni mfupi ni mfupi tu! Tulitaniana hivi kidogo.
No comments:
Post a Comment