HAYA VIDEO HII HAPA; WATANZANIA TURUDISHE HELA ZA WATU!
VIDEO HII HAPA INAYOTOA USHAHIDI KAMILI....WATANZANIA TUNAOMBWA TURUDISHE HELA ZA WATU, TENA KWA KASHIFA NA BENDERA YETU IKIONYESHWA KWA DHARAU.I LEGHISTI IN CORTEO CON LE BANDIERE DELLA TANZANIA; ''RIDATECI I SOLDI''
2 comments:
Du, hii kali Chibiriti. Hii inaonyesha mlevi pombe zimemwishia, ikiwa ulimwibia shuka, bali baridi inamwuumiza na nahitaji shuka lake.
Mnyalu!
ebwana chibiriti hebu tutafsirie jamaa anasemaje..mie sijaelewa sababu ya wao kudai pesa zao zirudishwe...msaada kidogo hapo.
Carga.
Post a Comment