Friday, January 20, 2012

NILIKUWA NIKIZUNGUSHA SHINGO KAMA AKINA DADA HAWA!



Enzi hizo za utoto, tulikuwa tukizungusha shingo kwa madaha na mabega....kama hawa akina dada hapa, tena inawezekana zaidi ya hawa. Basi ilikuwa ni shangwe tupu.

No comments:

WATEMBELEAJI