RAIS JK, WAZIRI MKUU, SPIKA NA VIONGOZI MBALMBALI KWENYE MAZISHI.
Rais Jakaya Kikwete, Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda, Spika wa Bunge Mh.Anne Makinda na viongozi mbalimbali wakishiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Arumeru (CCM) Mh.Jeremiah Sumari. Wananchi wa Arumeru kwakushirikiana na Vijana wa UVCCM Taifa, wakiufukia mwili wa Marehemu wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, wakati wa mazishi yake.
Rais Jakaya Kikwete, akiweka shada la maua katika Kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, baada ya mazishi yaliyofanyika Kijijini kwao Akheri, Mkoani Arusha leo.
No comments:
Post a Comment