Saturday, January 21, 2012

RAIS KIKWETE..KATIKA HESHIMA ZA MWISHO ZA MH. SUMARI.

Jeneza lenye Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru, Marehemu Jeremiah Sumari, likiwasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es salaam, leo January 21, 2012...tayari kwa kupewa heshima za mwisho.
Rais Kikwete na Viongozi mbalimbali wa Serikali ya Tanzania, katika kutoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Mbunge Jeremiah Sumari.
Rais Kikwete, akimpa pole Mjane Mama Miriam Sumari.
Rais Kikwete, akitoa heshima zake za mwisho mbele ya Jeneza la aliyekuwa Mbunge wa Arumeru, Mh.Jeremiah Sumari.
Rais Kikwete, Jaji Mkuu Mohamed Chande Othman, Spika wa Bunge Anne Makinda na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Mh.Freeman Mbowe, katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es salaam, katika kutoa salamu za mwisho kwa aliyekuwa Mbunge wa Arumeru, Mh.Jeremiah Sumari.

- Picha na Mkuu Beda Simbe.

No comments:

WATEMBELEAJI