Thursday, February 16, 2012

BARAFU YA MWAKA HUU ILIKUWA BALAA....HATIMAYE IMEKWISHA!







Mwaka huu iliamua kukomeshea kabisa....sitaweza kuja kusahau jambo hili la barafu na baridi kupita kiasi. Hatimaye imekwisha kwa mwaka huu....wametangaza rasmi kuwa haitashuka tena kwa mwaka huu....nimefurahi sana. Sasa kinachofuatia ni kusafisha vizuri barabara na miji, matrekta na malori yapo bize sasa kwa kazi hiyo ya kusafisha na kusomba barafu na kwenda kuitupia mtoni. Baada ya siku chache zijazo tutakuwa na hali ya kawaida ya kusafiri na kuishi kwa amani bila barafu....ila baridi bado inaendelea kama kawaida.

No comments:

WATEMBELEAJI