Sunday, February 19, 2012

DKT.SLAA;....HAKUNA KAMA RAIS KIKWETE!

Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Rais wa Hospitali ya CCBRT, Dkt.Wilibrod Slaa (kulia) kabla ya kuongoza matembezi ya hisani ya kuchangia ujenzi wa Hospitali na Tiba ya Uzazi iliyo chini ya Hospitali hiyo Dar es salaam jana. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Haji Mponda. Dkt.Slaa.....amsifia sana Rais Kikwete!

- Picha na Robert Okanda.

No comments:

WATEMBELEAJI