Monday, February 13, 2012

JIWE NILIPENDALO....LIPO KATIKA BARABARA YA DOM TO SINGIDA!

Jiwe hili nalipenda sana, kila nipitapo hapa lazima tu! nisimame kulishangaa....kila nilionapo utafikiri ndo mara yangu ya kwanza kuliona. Lipo katika Barabara Kuu ya Dodoma - Sindida, Wilayani Bahi, Mkoani Dodoma...karibu kabisa na Bahi Mjini. Na napenda sana siku moja nije nilipande mpaka juu kabisa.



No comments:

WATEMBELEAJI