Saturday, February 18, 2012

MAISHA NI SAFARI......

Maisha ni safari ndefu sana, hatuna budi kusafiri.....

Nami nasema; Uhai ni zawadi asilia, hatuna budi kuuheshimu hata wa wale walio dhaifu.
Maisha ni matumaini yanayo waka katika kila moyo, tuyaache yakiwaka.
Maisha ni mwanga unao fungua njia mpya, tuyafungue pamoja.
Maisha ni kile ambacho sisi sote tunakitamani, shangwe, furaha na haki ya kila mmoja.
Maisha ni safari ya pamoja....tusafiri pamoja bila kubaguana.

No comments:

WATEMBELEAJI