Uwe kwangu mwamba wa nguvu, nyumba yenye maboma ya kuniokoa. Ndiwe genge langu na ngome yangu...kwaajili ya jina lako uniongoze, unichunge.
Ee Mungu, wewe wasema kuwa umo mioyoni mwa walio wema na wanyofu...utujalie kwa neema yako tuishi vema kusudi upende kukaa ndani yetu.
Jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanae wa pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee....bali awe na uzima wa milele.
No comments:
Post a Comment