Sunday, February 19, 2012

MANENO MAZURI YA JUMAPILI HII YA 7 YA MWAKA!

Nami nimezitumainia fadhili zako, moyo wangu na uufurahie wokovu wako....naam, mwimbieni Bwana kwa kuwa amenitendea kwa ukarimu.

Ee mungu Mwenyezi, tunakuomba utujalie kuwaza daima mambo yanayofaa, na kutimiza kwa maneno na matendo yanayokupendeza.

Bwana, mimi nimesadiki ya kwamba wewe ndiwe Kristu, Mwana wa Mungu, yule ajaye ulimwenguni.

No comments:

WATEMBELEAJI