Monday, February 27, 2012

MOSHI OUR HOME!......WACHAGA MPO HAPA?

Kirefu cha mji wa Moshi ni huu hapa.....MUNGU ONYESHA SEHEMU HELA ILIPO.

3 comments:

ray njau said...

Kaazi kwelikweli kila mtu sasa ni mtani wa wachagga.Ipo siku wachagga tutakata rufani kwenye mahakama ya haki za binadamu kwa kuzingatia vigezo na masharti.

Baraka Chibiriti said...

@Ray...Ha ha ha haaaaaaa.....mimi ni shemeji zangu, hivyo hamuwezi kunishitaki.

ray njau said...

Hapa sasa mashitaka yanakwenda kwa wasee wa kimila kwa kuwa umechokosa mila wakati wewe ni mdau.

WATEMBELEAJI