Tuesday, February 14, 2012

TANGAZO KUTOKA....UMOJA WA WATANZANIA UJERUMANI.

Waheshimiwa Mabibi na Mabwana,
Kamati Kuu ya Umoja wa Watanzania Ujerumani (UTU) inayofuraha kuwajulisha kuwa fomu za maombi ya kujiunga na Umoja wa Watanzania Ujerumani, zinapatikana pia online, unaweza kuletewa kwa kutuma anuani yako ya barua pepe (E-mail) at; kamati.utu@googlemail.com

Umoja ni nguvu!
Mshikamano wetu ndio msingi imara wa Umoja wetu,
Karibuni sana!

No comments:

WATEMBELEAJI