Monday, March 12, 2012

KICHEKESHO CHA LEO!

NDUGU ZANGU WA MASAI BWANA!!!!!!!!


Mmasai mmoja alipopewa nafasi msibani ya kutoa salamu za rambirambi huku akiwa mbele ya Jeneza, akaanza kusema hivi; Msiba oyeeeeeeee...!!!!!!! Mazishi safiiiiiii???? Jenesa mependeza, ijapendesaaaaa? kama naona wifu kufa na wewe basi.....pumbafu senu!


- Kazi kweli kweli...!!!!

No comments:

WATEMBELEAJI