Thursday, March 1, 2012

LUCIO DALLA.....MWANAMZIKI MAARUFU NCHINI ITALY AFARIKI DUNIA GHAFLA LEO!

Mwanamziki maarufu nchini hapa Italy, amefariki leo ghafla kwa kupatwa na shinikizo la damu (ugonjwa wa moyo). Tarehe 28/02/2012...nilimwona kwenye TV wakimhoji akiwa mzima wa afya njema kabisa, leo taarifa zinasema hatunaye tena. Moja ya nyimbo zake maarufu ni hapa kwenye video hii ya hapa chini.

No comments:

WATEMBELEAJI