Monday, March 12, 2012

MALEZI YA WATOTO NI JUKUMU LETU SOTE!

Mkazi wa Jiji la Dar es salaam, Saidi Mustafa.......akiendesha baiskeli huku akiwa amembeba mtoto wake Bakari, mgongoni mwake kama alivyokutwa na mpiga picha hii huko Kinondoni B, Jijini Dar es salaam. Baadhi ya akina Baba wanawajibika ipasavyo katika shughuli za Familia, tofauti na dhana iliyojengeka miongoni mwa Jamii.

- Picha na Fadhili Akida.

No comments:

WATEMBELEAJI