Tuesday, March 6, 2012

MAMBO YA MAJI........MSANGENI - UGWENO!



Wanawake Wakazi wa Ugweno - Msangeni, Wilaya ya Mwanga, Mkoani Kilimanjaro.....wakitoka kuchota maji, katika moja ya vyanzo vya maji vilivyopo Kijijini hapo.....kama walivyokutwa na mpiga picha hizi hivi karibuni. Wakazi wengi wa Ugweno huvuna maji hayo huyahifadhi na kutumika zaidi wakati wa shida ya maji.

- Picha na Mkuu Mroki a.k.a Father Kidevu.

No comments:

WATEMBELEAJI