Sunday, March 11, 2012

MANENO MAZURI YA JUMAPILI YA 3 YA KWARESIMA!

Macho yangu yamwelekea Bwana daima, naye atanitoa miguu yangu katika wavu. Uniangalie na kunifadhili....maana mimi ni mkiwa na mteswa.

Ee Mungu, wewe ndiwe asili ya rehema zote na mema yote. Umeonyesha kuwa dawa ya dhambi ni kufunga, kusali na kuwapa maskini.....utusikilize kwa wema sisi tunaokiri unyonge wetu, ili tunaponyenyekea moyoni, utuinue daima kwa huruma yako.

No comments:

WATEMBELEAJI